Song Lyrics

[Intro]
Wakateseka ulimwenguni humu
Penye hadhira wakapata vichapo
Wakatengwa nao marafiki
Na jamaa pia wakatiwa gerezani
Paulo na Sira maisha yao yalifurikwa kweli tewengu
Waliomba kwake muumba usiku wa manane walizidisha kuimba X2

[Chorus]
Kwenye mizungu ya dunia tunafukishwa usiku wa manane
Giza totoro linagubika maisha yetu
Twapoteza tumaini
Ujanani, familia,mahusiano, kazini hata huduma ya muzikii
Utafikishwa usiku wa manane
Naomba upatwe ukiwa tayari
Wimbo wa sifa utakuja
Tia hewa mapafuni uimbe x2

[Verse 1]
Kwa kua ukombozi wako u karibu
Inuka ujifunge kiuno
Na milango ya gereza lako


Music Video
Comments / Requests