Song Lyrics

"Jambo Kubwa"

by Laura Karwirwa
Album: Natamani Nikuone

Kaonewa, asiyejua hata dhambi
Kahukumiwa, kwa ajili ya mimi mjeuri
Kautoa uhai wake, hukumu yote initoke
Kweli nimeshuhudia, upendo wa kweli nafahamu

[Prechorus]
Jambo kubwa
Misumari michungu kachomwa
Jambo kubwa
Damu ya wokovu kafuja
Jambo kubwa
Sasa nami nimepona

[Chorus]
Yelelelelele…
Jambo kubwa (Repeat 2x)

Kama jinsi magharibi, ilivyo mbali na mashariki
Ndivyo zilivyowekwa mbali zetu dhambi
Katika Yeye Mkuu, tunao ukombozi wetu
Mizigo mizito uu..
Msalabani natua


Comments / Requests