Song Lyrics

"Kama Siyo Wewe"

by Laura Karwirwa
Album: Natamani Nikuone

Ningekuwa wapi, ningefanya nini (Repeat 2x)

[Chorus]
Kama sio wewe (Repeat 3x)
Ningekuwa wapi
Ningefanya nini
Kama sio wewe

[Verse 1]
Tangu zamani
Tangu utotoni
Pendo langu kwako Yesu
Si la mali, wala hali
Baba, umenipa nini nikuamini
Roho yangu Yesu, umeiweza

[Verse 2]
Hata kama sikuoni na macho ya kimwili
Bado naamini
Umetenda mengi mpaka siamini
Sifa zangu wastahili
Sauti yangu napaza, napaza
Sifa zako, nazitangaza, nazitangaza

[Bridge]
Nakupenda Yesu, imenibidi niseme kwenye wimbo (Repeat 4x)


Comments / Requests
Album Artwork
Other Useful Links: