Song Lyrics

"Mtetezi"

by Laura Karwirwa
Album: Natamani Nikuone

Duniani, pahali pa unafiki
Anasa usherati
Lakini Yesu, kwangu ni rafiki
Aingilia kati
Ananitetea

[Prechorus]
Tunaye mwombezi kwa Baba
Yesu, Mwenye haki
Ninamuita
Mtetezi, Mtetezi
Namuita

[Chorus]
Mtetezi, Mtetezi wangu
Mtetezi, anaishi milele
Mtetezi, Mtetezi wangu
Mtetezi, nitamsifu milele
Nilisema, kwamba sina dhambi
Mimi mdanganyifu, ninakosea
Nikiziungama mbele zake zangu dhambi
Yeye mwaminifu, aniondolea

[Bridge]
Kwa upendo wake sisi tunakamilika
Katufia msalabani, tunakamilika (Repeat 2x)


Music Video
Comments / Requests