Song Lyrics

"Vyema"

by Laura Karwirwa
Album: Natamani Nikuone

Njia nyembamba, si wengi walichagua
Lakini mimi mwana, kukufuata nimeamua
Hatari nachukua, sijui nitakayopitia
Kazi ya msalaba, nipe nitafanya

[Prechorus]
Nikutumikie Bwana
Niwaonyeshe upendo Wako
Kazi nitakamilisha
So I can hear you say..

[Chorus]
Vyema, mwaminifu
Kazi umekamilisha
Vyema
Taji nitakuvisha

Lord You are the fire in me
Wema wako Wewe nitanena mimi
Vizuizi nitavipita, kwani neema wewe wanipa Baba
Furaha ya moyo wangu
Ni kuliinua jina lako juu

[Bridge]
Baba nikutumikie
Wana wako niwahudumie
Kazi nitafanya
So I can hear you say


Comments / Requests